Maandalizi ya siku ya watu wenye ulemavu duniani.

Baadhi ya wazazi wa wenye Down Syndrome Tanzania pamoja na Waziri Joyce Ndalichako (Mbunge) Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maandalizi ya Siku ya Watu wenye Ulemavu Duniani.